Breakfast in Bed....

Hebu vuta picha upo katika chumba Kimoja mkuu,umeopoa she mkali paka getto,asubuhi unaamka kwa mbwembwe unaweka Miguu chini kutoka kitandani unakanyaga kopo la kuongea,lina piga kelele,demu anashtuka kisha anarudi tena usingizini.

Unashusha Mguu wa pili unapiga teke sufuria la ugali mlilo pikia jana usiku mtoto wa kike anashtuka tena anarudi usingizini,

Unapiga hatua mbili tatu kulifikia jiko unapiga kikumbo chupa za vinywaji mlizo kuwa mnazitumia jana usiku

Paka breakfast inakamilika na mtoto wakike kaamka kitaaambo

Wakati inabidi umshtukize bebi na breakfast,asijuwe nn kinaendelea.
 
Hahaha, asee nimecheka sana, maisha ya kisela sana haya
 
Tatizo hapo sio chumba kimoja. Tatizo hapo ni kwamba uko rough aka mchafu.
 
Hahaha, asee nimecheka sana, maisha ya kisela sana haya

Kweli mkuu,kuna baadhi ya vitu vinahitaji mandhari iliyo bora,siyo kwamba sisi huku kwetu Uswazi hatupendi kufanya Ila ndiyo kama hvyo.

Kwamfano siku useme umsaidie mpenzi wako kufanya usafi ndani muwe mnasaidiana,muoshe vyombo mfuwe kwa pamoja kisha mkae jikoni wote muandae chakula na vtu kama hvyo

Jioni utakuta story kijiweni wana wanakusema kuwa wewe ni bonge la fala Kumbe hamna ni kusaidiana maana na hawa wenzetu nao wana choka na wanatamani kutuona tukiwa tunashirikiana nao katika hzo hidara

Sema mazingira ndiyo hayaruhusu ndo unakuta mtu anajifanya yeye mgumu kumbe hamna kitu.
 
Unasikiliza watu ?
 
Hamna ni ufinyu wa nyumba

Waswahili wana kamsemo kao wanasemaga kula nanasi kwahitaji nafasi sasa nafasi zenyewe ndiyo kama hzo.
Kwahio ukiwa na nyumba ndogo huwezi kuwa msafi au kula chakula chumbani? Hebu mliopanga chumba kimoja tuambieni huwa lazima mtoke mkale nje ya chumba?
 
Kwahio ukiwa na nyumba ndogo huwezi kuwa msafi au kula chakula chumbani? Hebu mliopanga chumba kimoja tuambieni huwa lazima mtoke mkale nje ya chumba?

Kwahyo mkuu wewe umepanga nyumba nzima?
 
Kwahio ukiwa na nyumba ndogo huwezi kuwa msafi au kula chakula chumbani? Hebu mliopanga chumba kimoja tuambieni huwa lazima mtoke mkale nje ya chumba?

Hamna usafi tunafanya kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…