Breaking buta bit late - TPA JOBS washaita!

mswazi

Member
Joined
Nov 18, 2007
Posts
25
Reaction score
2
Jamani kwa wale walioomba nafasi za Audit pale TPA,tafadhali futa katika list ya matumaini kwani tayari wameshaita na wamefanya interview alhamisi iliyopita,poleni kwa waliokosa na hongereni kwa mliopata ikiwa mumepata kwa ushindani halali na si kwa KAMLETE.
 

Mwenyezi Mungu atawapa mkate wao wa kila siku kupitia juhudi binafsi kwenye makampuni mengine, si lazima TPA
 
Na wale watu wa HR pale tpa wamefia wapi tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…