tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
this is never a breaking news!!
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga wenzake watatu. Manispaa hiyo ina madiwani wooooooote wa CCM.
nashangaa ilhali wote ni ccm. ingekuwa nondo ni chama kingine kweli ingekuwa breaking news
Habari yako inaharibu maana ya Breaking news...
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga wenzake watatu. Manispaa hiyo ina madiwani wooooooote wa CCM.
Nondo ni trasporter manager wa Abood,ambaye ni Mbunge apo start conecting the dot.