<br />Hivi watu wakigoma FFU wanatafutia nn?mm ninavyojua ni kuwa walitakiwa wawapatie ulinzi tuu!ngoja siku FFU nao wagome sijui nani atamwagia mwingine maji ya washa washa
wapeni haki zao hiyo kazi ni ngumu sanaWakataji miwa aka wajomba wa Kampuni ya sukari Kilombero wamegoma leo kwenda kazini kwa madai kwamba wamedanganywa na wakuu wa wilaya za kikombero na kilosa kwamba wangekuja jana tarehe 15.8.2011 kuja kuwapa majibu ya madai yao. Hali bado ni tete. FFU wametanda kila mahali hapa kiwandani.