shrodinger
Member
- Jan 3, 2009
- 9
- 0
Acha waibe wakiiacha hii nchi jangwa ndo watu washtuke!Hapo ndipo mpiga kura wa CCM utakapofaidi matunda ya umbumbu wako wa kuipigia kura CCM. Ufisadi utatamalaki!
Hapo ndipo mpiga kura wa CCM utakapofaidi matunda ya umbumbu wako wa kuipigia kura CCM. Ufisadi utatamalaki!
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?
WATANZANIA TUSIKUBALI......

Nilijua hivi wapinzani walivyojaa bungeni vile Mh. 6 hawezi kurudi, maana ndani ya CCM anaonekana naye ni Chadema. Tulimwambia Mh. 6 usichukue fomu akataa. Lakini tunafanya mpango ili Mh. 6 aingie kwenye kupigiwa kura na kura zote za wapinzani atazipata.
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?
WATANZANIA TUSIKUBALI......
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?
WATANZANIA TUSIKUBALI......
Ukifanya kosa la kwanza, unaweza kujikuta unafanya la pili na la tatu mambo yakawa siyo tofauti. Kwa hulka za kibinadamu, mazoea yanaweza kukusukuma kufanya la nne ukadhani matokeo yatakuwa yale yale na yakawa tofauti.
CCM kwenye uchaguzi huu inajua fika wananchi wanafikiri nini. Wamesema wazi wazi na hata katika namna walivyopiga kura zao. Waangalie sana hili suala la uspika. Linaweza kuwagharimu kuliko wanavyofikiri kama watampa mtu ambaye ataendelea kuwaudhi zaidi wananchi kuliko kuwatumikia.