Bunge hili ni la CCM wao ndio wana majority , na wako zaidi ya 2/3, kwa hiyo wao ndio watakao pitisha miswada pindi watakapo taka ipite hata km wapinzani hawata taka kwani ni wachache hawawezi kukwamisha kitu chochote. Walaumuni wananchi walio wachagua kwa uchache.
Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?
WATANZANIA TUSIKUBALI......
Kasi ya bunge linalokuja hakuna spika atakayeweza kulizuia, kila juhudi ya kutaka kulinyamazisha itaonekana live kwenye TV na kusikika redioni.
Natabiri kisayansi kuwa CCM inaenda kupasuka kiasi ambacho hatujawahi kushuhudia since records begun.
Hatujafika bado? from kuvaa makatambuga (matairi)viroba mpaka kupambana na ufisadi hewa?safari gani tunayoitaka?Habari za ndani kutoka CCM zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg Kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa CCM wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.Suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la CCM ama nini?
WATANZANIA TUSIKUBALI......
Hapo ndipo mpiga kura wa CCM utakapofaidi matunda ya umbumbu wako wa kuipigia kura CCM. Ufisadi utatamalaki!
Kasi ya bunge linalokuja hakuna spika atakayeweza kulizuia, kila juhudi ya kutaka kulinyamazisha itaonekana live kwenye TV na kusikika redioni.
Natabiri kisayansi kuwa CCM inaenda kupasuka kiasi ambacho hatujawahi kushuhudia since records begun.
soma katiba na sheriahabari za ndani kutoka ccm zinasema kada aliyejizolea umaarufu katika uchaguzi wa mwaka huu ndg kinana anaandaliwa kuwa spika wa bunge.
Wabunge wote wa ccm wanaandaliwa kuwekwa chini ili waelezwe hili na ole wake atakayehujumu.suala la form ni danganya toto tu......
Jamani tutafika kweli? Kwanza kwanini kumtafuta spika iwe kazi ya chama? Hivi hili ni bunge la ccm ama nini?
Watanzania tusikubali......
soma katiba na sheria ndio uje kuchangiasioni ubaya wa kinana kuwa spika tofauti ya kinana na sita na msekwa ni ipi, ccm wanatoa fomu kwani wao ndo wenye haki kisheria kutoa spika basi nasi chadema tupeleke wetu akapigiwe kura na ccm awe spika ajibu hiyo. Mr ii au mdee wawe ma spika au tozi wetu wa arusha? Mambo hayo
kasi ya bunge linalokuja hakuna spika atakayeweza kulizuia, kila juhudi ya kutaka kulinyamazisha itaonekana live kwenye tv na kusikika redioni.
natabiri kisayansi kuwa ccm inaenda kupasuka kiasi ambacho hatujawahi kushuhudia since records begun.