Breaking news from TCU

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
Habar wan jf,,,hatimaye tcu wametoa majina ya wanafunzi waliokubaliwa maombi yao ya kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine na pia wanafunzi waliokataliwa maombi yao,,,,,p'se tembelea website yao kwa maelezo zaid.
thnx
 
habari zenu wakuu naombeni mnichekie Mohamed said mtweve samahani kwa usufumbu ila sina access ya computer sim haifungui page yote
 
s0182/0072/2003,transfer successful(from bachelor of degree in adult and continuing education to bachelor of education in psychology at udom)
 
habari zenu wakuu naombeni mnichekie Mohamed said mtweve samahani kwa usufumbu ila sina access ya computer sim haifungui page yote

S0182/0072/2003.previous program,,Bachelor of degree in adult and continuing education,,college,,institute of education,,,,,,program ya sasa bachelor of education in psychology.udom.
 
weye idea na hii naombeni mchango wenu.mimi nimechaguliwa kozi ambayo ilikuwa 3rd selection yangu nikaomba transfer nimekosa.sasa nataka nivushe mpaka mwakani ndo niombe tena chuo,je hii inakuwaje?natanguliza shukrani kwa mawazo yenu
 
mkopo ndo tatizo mkuu
 
Unaweza vusha mkuu ila usije ukasaini mkopo kwa mwaka huu!
 
yan unamaanisha mwakani ntaomba coz nyingine na chuo kingine?
 
Ma great thinkers msaada naombeni mniangalizie ndugu yangu anaitwa ebeati joseph chale aliomba kubadilisha chuo na kozi,nipo mbali na computer
 
Aisee mbona nimefanya transfer alaf sijatokea kokote kati ya waliokosa au kupata,,yeyote anaejua au kuna awamu nyingine????
 
Sasa mdogo wangu ulikuwa SOUTH then huna hata kasimu kanakoweza kukusaidia ku access internet vipi? unaniangusha mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…