Breaking News IED Attack

Breaking News IED Attack

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Several Police officers feared dead after their patrol Vehivle ran over an IED near the Kenya Somali Border.
 
Are you celebrating/Rejoicing for loss of people's lives?Shame on you!
 
Nimefungua uzi kabla washangiliaji was maovu kina joyo la jiwe, eliakeem na geza ulole wafungue kwa kejeli na furaha.
Hiyo sio kinga ya kuwaambia ukweli, kwanini msiwanunulie MAGARI yasiyoweza kuaribiwa na hizo IED, au hakuna hayo MAGARI hapa Duniani?. Tumechoka kusikia hivi vifo ambavyo ni " preventable". Failed state.
 
Zile APC alizokabidhi uhuru kwa GSU ziliacha ku operate juu ya highly fuel consuption.only in DC contry.

Tukiwaambia wana miss kwenye uchaguzi wa vipaumbele wanasema tuna mawazo ya kimasikini sababu hatuna hela.gari iliyozama na mama na mwanaye imeopolewa baada ya siku 11 toka izame just 60 metres deep,yaani nusu kiwanja cha mpira chini ya maji[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Ati umechoka ama umefurahi 😂😂😂
 
Nyinyi pale L.Victoria si mlishinda kuokoa maisha kisa eti hamna umeme?
 
Several Police officers feared dead after their patrol Vehivle ran over an IED near the Kenya Somali Border.
Hongera kwa kuwa wakwanza fasta fasta
Nikajua unaizungumzia Tanzania
Kumbe lakuchumpa hahaha
Pale unapo ji ng'ata ulimi
 
Kama kununua MAGARI yasiyoharibiwa na IEDs imeshindikana, basi malizeni kujenga ule ukuta ambao tayari ulishaanza kujengwa na kugharimu pesa nyingi.
 
Umefanya vizuri kuwahi hawa vizazi vya nyoka roho mbaya za kishetani, watachukia sana humu maana nyuzi kama hizi huwasaidia kufanya nyeto.
Rest in peace our gallant officers.
 
Zile APC alizokabidhi uhuru kwa GSU ziliacha ku operate juu ya highly fuel consuption.only in DC contry.

Tukiwaambia wana miss kwenye uchaguzi wa vipaumbele wanasema tuna mawazo ya kimasikini sababu hatuna hela.gari iliyozama na mama na mwanaye imeopolewa baada ya siku 11 toka izame just 60 metres deep,yaani nusu kiwanja cha mpira chini ya maji[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaha hizo gari zinafugia kuku
 
Umefanya vizuri kuwahi hawa vizazi vya nyoka roho mbaya za kishetani, watachukia sana humu maana nyuzi kama hizi huwasaidia kufanya nyeto.
Rest in peace our gallant officers.
Hahahaha, kumbe mnaumia tukiwawekea taarifa za uzembe wenu sio?, ufumbuzi sio kuwahi kutuwekea, muhimu ni kurekebisha hayo mapungufu yenu ya kizembe ili tukose ya kuwakosoa, haiwezikani roho za watu zinapotea kizembe kwa kutumia IEDs wakati kuna MAGARI ya kuweza kuzuia IED lakini hamnunui Kazi yenu ni kujisifia uchumi isiokuwa na msaada kwa wananchi hata kuzuia vifo kama hivi, mlijisifia kujenga ukuta ili kuzuia wasiingie, lakini kama kawaida yenu, hata ukuta tu mnasubiri mchina awakopeshe, Failed state.
 
Usitoe povu juu ya hili
 
Usitoe povu juu ya hili
Nunueni MAGARI ya kuwakinga POLISI wenu wasiendelee kufa kama wadudu, kweli maisha ya wakenya hayana thamani. Uliona nijinsi tulivyowashughulikia wale magaidi waliowaua RAIA wa Tanzania kule Msumbiji?. Endeleeni kukata mauno wakati Alshabaab wanapaka KY jely ili waendelee kuwatumbukiza dushelele mat**akoni.
 
Back
Top Bottom