Hivi ni nini maana ya Kampeni?... Mkijua hilo maneno yenu marefu yatapungua
Mwanakijiji,
Pamoja na hayo yote mimi naiiita danganya toto tu. Hakuna kitu atafanywa huyu bwana zaidi ya kuchukuliwa maelezo then imetoka. Let us wait and see and Bravo for the info
umesikia mzee mwanakiji we achana nao hizo za komba kukamatwa ni za kweli ata mm nilisikia pia ila kuna shaka kama kweli wanaweza kumchukulia atua yeyote ya kisheria,si unajua ccm wanavyombeba yule jamaa.tusubiri tuone lkn
Komba hakuwa anafanya kampeni, alikuwa anafanya vurugu.
Soma posti za "Uchaguzi wa Kiteto" upate kuelewa tunaongelea kitu gani!
Si imesemwa kuwa hakuna aliye juu ya sheria...? tutaona kama Komba anahusika na sehemu hiyo ...
hiyo itakufa kabla haijaanza.....na wapinzania sidhani kama wana nafasi na pesa ya kuipigia kelele hata hivyo!
Mod hivi hii habari mpaka sasa hivi ni breaking News?Habari zinazoingia taratibu zinasema kuwa yule mpiga debe maarufu wa CCM Kapt. John Komba anatafutwa na Polisi kutokana na kufanya vurugu kwenye mkutano wa Upinzani. Kesi ya jinai imefunguliwa mjini Kibaya huko Kiteto na baadhi ya viongozi wa upinzani. Kapt. Komba alivamia mkutano wa Chadema ambapo alilazimishwa kushushwa jukwaani na FFU. Kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi ya 1985 (as ammended) ni marufuku kwa mtu kuingilia kampeni za uchaguzi wa chama kingine.