Breaking news:kitoto chaokotwa jangwani darajani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wana jf najua wengi watasikitika lakini iemfika wakati wa kukemea kwa madada zetu hii tabia ya kutupa vitoto vichanga
dk 10 zilizopita nilipita jangawani darani njia ya kuelekea magomeni nkaona watu wamesimama wengi na wengine kupaki magari pembeni..nkajitahidi kusimama kuangalia nini
laaa hasha kwa huzuni kubwa wana ndugu nilikuta kitoto cha miezi tisa kiko chini ya daraja..hakika sikuwa na la kusema ila kumwambia mungu amtie adabu kwa huyu mtu aliekubali kukaa na kiumbe cha mwenyezi mungu miezi tisa na mwisho kummalizia safari yake pale darajani jangwani tena daraja la majambazi na habari zaidi aliewashtua hilo ni vijana wanaolala kule chini akidai alisikia tu mfuko ukitupwa usiku na kutokana na usingizi asbh kabisa akasikia sauti akijua ni paka kadondoka ndipo walipoamua kufwata mfuko na kukuta katoto

handsome boy akikata roho

mungu amlazze mahali pema peponi

wito wa bure

dada zetu msikurupuke kuzaa ovyo kisa kuona jamaa anafanya kazi..au ana hela hujui atakutumia kwa muda gani !!na haya ndio matokeo yake si wezi kumsema huyu dada ila najua kuna matataizo yamemkuta yalojiri kufanya uchafu huu zaidi ya ufisadi.....na hakika kamanda kova kama utawadiscipline hawa manyangau wanaofanywa kitandani wakijua wanazaa mawe kuishia kutupa majalalani hakika hakuna atake tupa mtoto

lingine ikiwa ishatokea jamani zaa peleka hata kwa ndugu akikataa mtuopie hapo awezi kumuua au kumtupa ...kuua jamani dhambi
mwisho napenda kuwaasa na nyie wanaume acheni kufanya fanya ovyo mshahara wa ngono ni mtoto mlijue hilo...na akizaliwamlazima ujue kumtunza..else nenda kawazalishe kwenye mifuko ya salama kuliko kuzaa na kukana...

Lingine nanyi madada mnafanywa na watu tofauti ndio maana mnashindwa kujua mimba ya nani na mwisho kuamua kutupa mtoto kufuta aibu ya mtoto bila baba huu ni ufisadi na uchafu
hakuna atakaekubal huu uchafu
 
Nyieeeeeeeeeeee madadada nyieeeeeeee oooooooh
 
Huyo mwanamke alaaniwe kabisa!si angeniletea hata mimi jamani!Jamani yaani mtu unatupa mtoto kutapika kote kule ile miezi ya mwanzo!Na akaitunza miezi tisa bado akajifungua na mtoto amefikisha miezi tisa jamani si angevumilia tu!Ehhh inasikitisha sana kwa kweli!
 
 
Nahiisi wanadada mbadilike huu ndio muda wenyewe acheni tamaa zisizo na msingi!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…