Breaking news kuhusu kifo cha ngwea/ lingine lililotufikia hivi punde kuusu m2-the-p

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001

Marehemu Albert Mangwea “Ngwair” alikua na msanii mwenzake wa bongo flavor ajulikanae kama M2-THE-P miongoni mwa wasanii waliokuwa marafiki wa kundi la CHAMBER SQUAD.

Habari zinasema kua hali ya M2-THE-P sio nzuri na yuko mahututi katika chumba maalumu (I.C.U) ambapo madaktari wamethibitisha kua matumaini ni hafifu ya uhai wake. “hali yake sio nzuri, tumemuwekea mashine ya kupumua na yuko kwa uangalizi wa kina kwa muda wa masaa sita nbaada ya hapo tutaweza kusema nini hatima yake kwa sasa ni hayo tu” – Daktari amenukuliwa.
 
Aisee masaa 6 mbona yashapita zamani? Hii habari ya masaa 6 mbona ipo tangia jana saa mbili usiku? Tupeni latest update za leo.
 
tusubiri taarifa za uhakika toka kwa madaktari maana imekuwa ni kitendawili kwa Watanzania juu ya chanzo cha kifo cha Ngwair,tumeumia sana tuliokuwa tunampenda huu msanii
 
Kuna hoja nishawahi sikia toka kwa wazamiaji eti south ukifumwa na drugs unakuwa poisoned kuondoa wahalifu hao kwahiyo hata kama umeachiwa huru huwezi ushi sana utakufa tuu ikoje hapo??? NB; Nawewe ihakikishe hili kabla ya kuamini moja kwa moja je Kweli???
 
rip mangwea and get well soon m 2 the p.
 
Source ni nini kwani jaman ya kifo cha ngwea??? Na hyo msanii mwenzie nae anaumwa nini???
 
tusubiri taarifa za uhakika toka kwa madaktari maana imekuwa ni kitendawili kwa Watanzania juu ya chanzo cha kifo cha Ngwair,tumeumia sana tuliokuwa tunampenda huu msanii

Chanzo cha kifo chake ni kitu cha Diego.
 
Drug Abuse walijidunga juz usiku jana walikua warud lakn mpaka saa2 asubuh walikua hawajatoka ndan ndo jamaa ambae yuko kule Hamis mbena wakaenda kuwapitia ili wawapeleke Airport kuingia akakutwa M2the P anagalagala Ngwear hatikisik ndo wakapelekwa Hospital Ngwear kafa saa nane mchana saa za south afrika huku saa kumi jion...
 
Ni nini kimewakuta hawa jamaa lol!
Mungu awapumzishe mahali wanapostahili.............amen!
 
Ndio mana ake, mafia deals two can keep the secret if one is dead, so deal limebumburuka lazima ku wipe up the mess, hizi deal kifo mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…