Breaking news:Mbunge wa CHAPUTA najivua uanachama kuunga mkono juhudi za Magufuli

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ndugu ndege JOHN
17.nov 2018
TAARIFA YA KUJIUZULU UANACHAMA WANGU
Mimi ndugu ndege JOHN niliyekuwa mbunge kupitia CHAPUTA natangaza kujivua vyeo vyote na uanachama wangu.nimefanya nikiwa na akili timamu na Wala sijashurutishwa na mtu.
Dhamira yangu imeshindwa kuukataa ukweli kwamba kitendo hiki Ni machukizo mbele za Jina la MUNGU wako.ni aibu matandiko yako kuwa machafu Wala bafuni sio mahali pa wewe kujinafasi.natambua JUHUDI za Magufuli kujenga misingi mipya ya taifa.wokovu umekuja sasa maana kwa Magufuli itakubidi ulime au utembee Sana hela kuipata Ni ukomae kweli kweli Sasa nimegundua pull inasaga mifupa yako.utaishiwa nguvu hata za kutembea ukiendekeza.na kumbuka jini linavyotoka linakwenda kuita majini wenzake Saba.ni ngumu kuacha huu uhujumu manii ukiwa ndani ya chaputa.
Lakini natoa ushauri kwa wanachama watiifu.mjitahidi kufanya mazoezi kama unajua punyeto jua na kufanya matizi.ruka kamba kwa wingi.
Mwisho kabisa nawapatia ujumbe kwa wale mnaendelea kubaki chamani chaputa ambako Kuna Siri nyingi,uwizi mwingi,rushwa na ufisadi ujumbe wangu Ni kuwa balaa linakuja .Moto unakuja
Na jua Kuna ambao mtasema nimenunuliwa.ni kweli Mimi nimenunuliwa na serikali ya MUNGU Tena kwa gharama ya zaidi ya billions 45
Siwashukuru hata kidogo waliokuwa viongozi wangu.mimi kwa Sasa nashirikiana na watu wengine waliovaa mavazi meupe.walioamua kujitenga na uchafu na machukizo.walioamua kutojiabisha.
Nyakati hizi za mwisho wa mfumo wa mambo kumekuwa na uchizi mwingi.wrath day is coming.
Ni Mimi- mwana mpotevu ndege JOHN.
Chaputa tubadilishane uzoefu;kwa siku unapiga puli Mara ngapi? - JamiiForums chaputa mnazidi kupungua HAPA KAZI TU
 
Nduggu ndege JOHN

umetisha ndege john
 
Hio ni likizo isiyo na malipo tu mkuu..
Haka ka chama kukasaliti sio kazi rahisi hivyo..
Utapumzika mwezi mmoja lakini utarudi tu.
Ukirudi sisi wanachama wa kudumu tutakukaribisha ka
Wa moyo mweupee

By katibu mwenezi CHAPUTA
Ndo tatizo la watu badala tutiane mioyo.tunazid kukandamizana.this time mashetani siwapi nafasi
 
Back
Top Bottom