Kocha wa yanga kostad papic amebwaga manyanga kuifundisha yanga.hii imetokana na uongozi wa yanga kumhoji kuhusu mahusiano yake na wachezaji kwani ilionekana anaendekeza chuki na baadhi ya wachezaji kiasi cha kuwapiga benchi ,hadi kusahaulika kama wanachezea yanga huku wachezaji hao wakipokea mishahara kama kawa.ndipo papic akaamua kususa na kurudi kwao.
Soarce: clouds a.k.a simba tv ,a.k.a kamati ya nidham ya tff.a.k.a tawi la simba ,
Papic hafai hata kidogo kuwa kocha wa Yanga......Anaendekeza makundi tu miongoni mwa wachezaji na kushusha viwango vya wachezaji.....
haya minziro huyo sijui atawafikisha wapi
Kama ni kweli kajiuzuru hii itakuwa ni Habari njema sana kwangu.....
Papic hafai hata kidogo kuwa kocha wa Yanga......Anaendekeza makundi tu miongoni mwa wachezaji na kushusha viwango vya wachezaji.....
Na aondoke zake maana HANA JIPYA.......Namkumbuka sana mtaalamu SAM TIMBE aliyetuletea ubingwa wa VPL na CECAFA
mkuu unapaswa kutambua kitu kimoja kwa sasa simba ina watu wa mpira....halafu hawana njaa za kijinga hivyo kinachofata ni mafanikioNamlaumu Papic sijui kwa nini alirudi kuifundisha Yanga wakati anayajua matatizo ya uongozi wa timu,naamini hata Simba watafuata nyayo za Yanga Milovic naye atatimuliwa au ataondoka mwenyewe,tusubiri ligi iishe
Mtu wa mpira alikuwa Hassan Dallali,unakumbuka Simba walibeba ubingwa bila hata kupoteza mechi na wakati ule Yanga alikuwa mteja wa Simba.Tangu waje hao watu wa mpira (Rage na wenzie) wamefanya nini la maana baada ya kuona Yanga wamemuajiri Timbe na wao wakamuajiri Bassena .Yanga walivyomtimua Timbe na kurudisha Papic na wao wakamrudisha Milovanmkuu unapaswa kutambua kitu kimoja kwa sasa simba ina watu wa mpira....halafu hawana njaa za kijinga hivyo kinachofata ni mafanikio