Breaking news: papic abwaga manyanga yanga

Eti akina Rage(Mwizi na Tapeli) ndio watu wa mpira.....

Tatizo Simba wanaigaiga sana....Yanga walivyorudisha Papic eti nao wakamtimua Basena na kumrudisha Milovan.....Halafu walivyokuwa dhulumati wakamdhurumu Basena fedha zake zote za kuvunja mkataba kwa kisingizio hana cheti(ina maana walikuwa wakimtumia wakijua ni kanjanja?).....
 
Haa mbona yupo katika benchi la ufundi kama kawa! Nasikilza mpira hapa mpaka sasa hawajafungana wamebanwa sana na villa
 
Tatizo la yanga si papic tatizo ni wachezaji ndio wamezeeka hadi wameamua kuwa mabondia
 
kila siku iendayo kwa mungu si simba wala yanga na si taifa stars mnafukuza makocha,je tangu muanze kufukuza makocha kuna mabadiliko yeyote yale kisoka? hususani ktk anga za kimataifa?

wekezeni ktk soka la vijana,sio kuleta siasa ktk soka

sasa hivi timu zote mbili mpo kwa mazoea tu,lakini kisoka nothing
 
Simba acheni majungu, Papic bado yupo Yanga. Mnachukia kwa sababu ni kiboko yenu. MWAPEEEEEE. Gooooooo
 
Hamis kiiiiiza dakika ya 88 na papic yuko kwenye benchi shauri yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…