Breaking news! Pombe zote zimekwisha Moshi muda huu

Breaking news! Pombe zote zimekwisha Moshi muda huu

Title na content ni vitu viwili tofauti.

Comment ya title:

Hizo beer zmeenda wapi? Ni kwamba zimeingia kwenye matumbo ya wachaga?

Comment ya content:

Kwa nini mbwa wamefungiwa Iringa? Ni kwamba wasiwadhuru wanaosherehekea Krismas?
 
Hivi hao Wachaga wanaelewa maana ya silent night? Hata kuna wimbo wa Krismasi unaitwa silent night, kama wewe ni Mkristo na unaelewa maana ya Ukristo leo siyo siku ya kulewa.

,, silent night, holy night
all is calm, all is bright,
...
 
Back
Top Bottom