mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Dec 24, 2019 #1 Hali ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa Iringa muda huu. Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu.
Hali ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa Iringa muda huu. Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu.
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,649 Reaction score 3,779 Dec 24, 2019 #2 Tupeni muongozo mliopo huko Sent using Jamii Forums mobile app
Emery Paper JF-Expert Member Joined Jun 1, 2019 Posts 1,427 Reaction score 2,728 Dec 24, 2019 #3 Kwamba Breaking News nazo zimeisha ?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 24, 2019 #4 Nani kashika nafasi ya mekuz kwa sasa Ova Sent using Jamii Forums mobile app
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Dec 24, 2019 Thread starter #5 Emery Paper said: Kwamba Breaking News nazo zimeisha ? Click to expand... Hapana Bado mkuu
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,508 Reaction score 2,619 Dec 24, 2019 #6 Title na content ni vitu viwili tofauti. Comment ya title: Hizo beer zmeenda wapi? Ni kwamba zimeingia kwenye matumbo ya wachaga? Comment ya content: Kwa nini mbwa wamefungiwa Iringa? Ni kwamba wasiwadhuru wanaosherehekea Krismas?
Title na content ni vitu viwili tofauti. Comment ya title: Hizo beer zmeenda wapi? Ni kwamba zimeingia kwenye matumbo ya wachaga? Comment ya content: Kwa nini mbwa wamefungiwa Iringa? Ni kwamba wasiwadhuru wanaosherehekea Krismas?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 24, 2019 #7 mtwa mkulu said: Hali Ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa iringa muda huu... Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu Click to expand... Wachaga Wanajua kujiachia aise Ngj nkusindikize na kideo hki Ova Your browser is not able to display this video. Sent using Jamii Forums mobile app
mtwa mkulu said: Hali Ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa iringa muda huu... Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu Click to expand... Wachaga Wanajua kujiachia aise Ngj nkusindikize na kideo hki Ova Your browser is not able to display this video. Sent using Jamii Forums mobile app
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,817 Dec 24, 2019 #8 Hivi hao Wachaga wanaelewa maana ya silent night? Hata kuna wimbo wa Krismasi unaitwa silent night, kama wewe ni Mkristo na unaelewa maana ya Ukristo leo siyo siku ya kulewa. ,, silent night, holy night all is calm, all is bright, ...
Hivi hao Wachaga wanaelewa maana ya silent night? Hata kuna wimbo wa Krismasi unaitwa silent night, kama wewe ni Mkristo na unaelewa maana ya Ukristo leo siyo siku ya kulewa. ,, silent night, holy night all is calm, all is bright, ...