mi mbona hola in my account?
we una2mia account bank gan mkuu,maana Nbc,nmb,crdb na exim tayari?
"Mpumbavu wewe we ulimaliza chuo gani cha kata ukashindwa kuandika iyo proposal,kama huna cha kuchangia you better mute"Msome sasa sio mnamaliza chuo mnaambiwa kuandka hata project proposal mnashangaa tu
Nilidhani hivi vifupisho vinatumiwa na laymen, kumbe hata wanachuo wanavitumia !! Kwa kweli hizo lugha za kwenye sms za mobile phone huwa zinanikera, kwani hakuna significant time unayookoa kwa kuandika '2' badala ya 'tu'. Wasomi wengine ni yeboyebo kabisa!Wadau,ule mkwara alio uchimba huyo jamaa hapo juu eti kwa continue students lazma 2lipe sehemu ya cost 2nazodaiwa ndo 2pewe bumu le2 umegonga mwamba ....
mi mbona hola in my account?
Nilidhani hivi vifupisho vinatumiwa na laymen, kumbe hata wanachuo wanavitumia !! Kwa kweli hizo lugha za kwenye sms za mobile phone huwa zinanikera, kwani hakuna significant time unayookoa kwa kuandika '2' badala ya 'tu'. Wasomi wengine ni yeboyebo kabisa!