Breaking News:Tanesco yapigwa chini kesi ya Dowans

Wanao umia ni WTZ watakao katwa kodi kubwa kufidia pengo la TANESCO kuwalipa DOWANS upo ndugu????????
 
Nasubiri nakala ya Hukumu nione kilichomo. Katika Utawala wa Sheria maamuzi ya Mahakama Kuu sio ya Mwisho, ipo Mahakama ya Rufaa
 
Nashangazwa na uharaka wa hii kitu, kati ya Novemba last year na leo application imekwisha wahenga walisema " justice delayed is justice denied also justice rushed is justice buried".

Rings a bell
 
Mnashangilia nini wakati tumefungwa goli sie? Tangia hapo Tanesco walishaamua kulipa tangia hukumu ya kwanza ilipotoka, ni juhudi za baadhi ya wazalendo ndio zilifanya angalau tutafute namna ya kuchomoa, sasa tumeshindwa watu wanakuja hapa kushangilia; nyambaf!
 
jamani huu ni msalaba wa walala hoi, mzigo wote huo tutabebeshwa sie jaman.

viongozi wote wa serikali wana percent zao hapo kwenye hiyo amount, hawatasema ki2.

wadau kazi tunayo
 
jamani huu ni msalaba wa walala hoi, mzigo wote huo tutabebeshwa sie jaman.<br><br>viongozi wote wa serikali wana percent zao hapo kwenye hiyo amount, hawatasema ki2.&nbsp;<br><br>wadau kazi tunayo
 
hukumu ya Dowans ni moja kati ya sababu nyingi zinazotulazimu kuwa na katiba mpya na sio hii ya chama. katiba ambayo itatoa exclusive mandate to our municipal judicial system like what is done in Argentine. and do away external intervention especially when it comes to matters of national interest. this is my firm belief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…