Breaking news=Waziri Alotimuliwa Azusha Balaa Kanisani.

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Waziri Lameck almaarufu kwa jina la Kijana Mdogo.
amejikuta akizuaa balaa baada ya kuingia kanisani na kukimbilia sehemu ya ibada na kuongoza ibada kama baba mchungaji.
kijana huyo alifanya hivyo ili kuepuka kukamatwa na watu walokuwa wakimkimbiza kwa kosa la kuiba sukari robo.
source:::::BBC KICHAGA.
 
sawa
 
Bora uendelee tu kutuletea mashairi yako yasiyo na vina wala mizani.
 
nimekuja mbio nikadhani huku chura kapatikana kumbe pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…