_Wachungaji wa baadhi ya madhehebu ya ki kristo nchini wamewaonya waumini wao kutoimba pambio la *"simba wa yuda anaunguruma"* katika ibada zitakazo endelea jumaapili ili kuhatarisha usalama wa vifaa vya kanisa na uhaba wa sadaka unaoweza kutekelezwa na waumini mashabiki wa yanga_
nyuzi kama hizi zianzishwe kwanzia SAA 11 tukiwa nyumbani ona sasa umesababisha mpk Dada wa watu kaja oficin SAA anatoka mm ndo nimesoma akahisi ni nimemcheka yeye