Mhhh! Hakuna kitu kisichokuwa na kanuni Mkuu, hizi taarifa unazozita jokes zipo hadi kwenye magroup huko, leo ni tarehe ngapi, watumishi wanangojea yapi? Jokes? Swala la mustakabali wa watu na maisha yana jokes? Kila kitu kina kanuni, huwezi ukatoa taarifa za msingi na ukajitetea kuwa ni jokes, kwahyo wote wanazipata ktk jukwaa husika?itakuwa we ni mjinga kwa sababu unaleta usiriaz kwenye jokes 😱
napenda watu wa aina yako wanabishana kwa hoja si kama wengine wanaropoko tu nakupa creditMhhh! Hakuna kitu kisichokuwa na kanuni Mkuu, hizi taarifa unazozita jokes zipo hadi kwenye magroup huko, leo ni tarehe ngapi, watumishi wanangojea yapi? Jokes? Swala la mustakabali wa watu na maisha yana jokes? Kila kitu kina kanuni, huwezi ukatoa taarifa za msingi na ukajitetea kuwa ni jokes, kwahyo wote wanazipata ktk jukwaa husika?
Toa matokeo ya uchaguzi, then ukisimamishwa mahakani ukajitetee kuwa ni jokes, kila kitu kina kanuni, hilo tu ndo la msingi.
Hii habari kwa mara ya kwanza nimekutajia nayo kwenye group la whatsap, hasira zilinianza huko, sori.napenda watu wa aina yako wanabishana kwa hoja si kama wengine wanaropoko tu nakupa credit
mkuu hili jukwa ni spesho kwa jokes yani unapoingia humu moja moja unajua unaenda kuface kitu cha aina gani that's why sijaenda kupost jukwaa la habari,siasa wala kazi na matangazo madogo madogo kwa sababu si issue ya kweli
naomba uelewe kuwa jukwaa hili lipo kwa sababu ya utani na si mambo mengine