Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyo!BREAKING NEWS!!!!!
Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu hakuna umbea hapa.
dah nilikuja spidi,nilidhani tayari nisani nyeupe keshafanya yakeBREAKING NEWS!!!!!
Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu hakuna umbea hapa.
SawaBREAKING NEWS!!!!!
Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu hakuna umbea hapa.
HahaaMimi nilidhani nyarandu karudi alikotoka