lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Habari iliyopo ni kwamba "Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Kurutumbi leo.
wasichana wawili walichukua tax toka Kurutumbi kuelekea kituo cha basi,wakiwa njiani dereva akahisi harufu kali na aliposogea mbele zaidi akawaona police wawili barabarai,akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe, police waliongea na wasichana hao wakatoa dola 2000, taxdriver akaruhusiwa bila kusachiwa, Walipofika Search point ndipo askari moja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu,. Vilipofanyiwa uchunguzi wakagungua kuwa vichwa hivyo ni vya Samsung Charger, Iphone charger na Infinix Charger. Mpaka naenda mitamboni sijui nini kiliwakuta maana niliwaacha wakijadili.