BREAKING NEWS

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Habari iliyopo ni kwamba "Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Kurutumbi leo.
wasichana wawili walichukua tax toka Kurutumbi kuelekea kituo cha basi,wakiwa njiani dereva akahisi harufu kali na aliposogea mbele zaidi akawaona police wawili barabarai,akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe, police waliongea na wasichana hao wakatoa dola 2000, taxdriver akaruhusiwa bila kusachiwa, Walipofika Search point ndipo askari moja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu,. Vilipofanyiwa uchunguzi wakagungua kuwa vichwa hivyo ni vya Samsung Charger, Iphone charger na Infinix Charger. Mpaka naenda mitamboni sijui nini kiliwakuta maana niliwaacha wakijadili.
 
Techno charger, ZTE charger na Huawei charger kwanini visionekane navyo? Kwasababu niliwapa hao wasichana vichwa 6 dadeki zao.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Pengine vilikuwa ni Vyup** vyao mkuu havijafuliwa
Sasa vichwa vya chaji na harufu kali vinahusiana nini....

Na hao mademu kutoa $2000 kunahusiana vipi na harufu kali???
 
Nmekurupuka kuufungua uzi mpaka kumwaga bia yang kumbe habari ni tofauti 😑
 
HESLB wamekupatia mkopo au umeahirisha mwaka? Sikuoni Teofilo Kisanji chuoni kwenu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…