Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
Ndugu wana jf peruzini ktk website ya bodi ya mikopo majina mengine yametoka leo kwa waliokosa mwanzo hasa watu wa diplima.....
 
Ni kweli kuna jamaa yngu alikosa na jna alikwenda kufatilia kani sms sasa iv kunambia kuwa mengine yametoka na yye yumo,,,we tisa tim ktk web yao kwa mfumo uleule na ingiza data zako then search mayb umebahatika pia
 
mbona kawaida tu.. na kwann wasitoe taarifa wafanye kimya kimya..##wasi_wasi kidogo
 
Hawa kazi imewashinda kabisa!!! Wakiona kelele mtaani kuhusu mikopo zimekuwa kubwa wanaongeza idadi ya wanaostahili kupata mikopo!!! Utendaji wao ni SIFURI!!!

Ndugu wana jf peruzini ktk website ya bodi ya mikopo majina mengine yametoka leo kwa waliokosa mwanzo hasa watu wa diplima.....
 
Kuna mtu namwangalizia, amepata lakini jina sio lake, ndio inakuwaje hapa? reg no ni ya kwake lakini jina linaappear lingine?
 
chadema walisema watasaidia wanafunzi waliokosa mikopo naona imewauma
 
Dah nikweli hata na mimi nimepata kweli mungu ni mkubwa kwakweli.
 
The student with Index number
'S2064.0077.2009' did not
secure a higher education loan
for 2013/14 academic year.
 
Back
Top Bottom