BREAKING Newzz>>>CHEGE apata ajali mbaya ya gari usiku huu Temeke

THE CHOICE

Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
19
Reaction score
1
[h=6]BREAKING: Msanii CHEGE apata ajali mbaya ya gari usiku huu Temeke Dar es salaam, ameumia ila gari halifai kabisa.

Chanzo ni mtu wa pikipiki[/h]
 
Haya baada ya ajali vp?, malizia story maana na mm shabiki wake
 
Duh! ajali, ajali, ajali, Hakika tusipokuwa makini ajali zitatumaliza, Mungu tunakuomba umwondolee maumivu na umponyeshe kijana huyu amina
 
pole chege,mie nasemaga ukikaa tanzania ukafikisha miaka 60 ujipe pongezi aisee.....kuna ajali,malaria,migomo lol :spy:
 
Ni mchezaji wa Timu gani? Yanga Azzam au Simba?

Kwa faida yako na wengine, ''Chege Chigunda mtoto wa Mama Said'' mwanamuziki wa Kizazi kipya,anaimba bongo flava ktk kundi la TMK Wanaume. Of late ameungana na wanamuziki wenzie wanaotoka mkoa wa Kigoma na kufanya kazi pamoja chini ya kundi linalojiita Kigoma All Stars na kutoa kazi nzuri inayoitwa ''Lekadutigite''.
 
I love Chegge's work,am a great fan of his. Where is he now? Temeke? Muh2? Any updates?
 
Kwa faida yako na wengine, ''Chege Chigunda mtoto wa Mama Said'' mwanamuziki wa Kizazi kipya,anaimba bongo flava ktk kundi la TMK Wanaume. Of late ameungana na wanamuziki wenzie wanaotoka mkoa wa Kigoma na kufanya kazi pamoja chini ya kundi linalojiita Kigoma All Stars na kutoa kazi nzuri inayoitwa ''Lekadutigite''.

Sasa kama amepata ajali mimi nifanye nini basi? Nilie?(hapana), nicheke? So what? Mwambie apungunze ndumba
 
Kwa faida yako na wengine, ''Chege Chigunda mtoto wa Mama Said'' mwanamuziki wa Kizazi kipya,anaimba bongo flava ktk kundi la TMK Wanaume. Of late ameungana na wanamuziki wenzie wanaotoka mkoa wa Kigoma na kufanya kazi pamoja chini ya kundi linalojiita Kigoma All Stars na kutoa kazi nzuri inayoitwa ''Lekadutigite''.

Shukrani/nilifikiri jamaa la vicents.. .
 
Atakuwa alizidisha kipimo cha 'aire jaaa aisee chalii yangu ariff'

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
[h=6]BREAKING: Msanii CHEGE apata ajali mbaya ya gari usiku huu Temeke Dar es salaam, ameumia ila gari halifai kabisa.

Chanzo ni mtu wa pikipiki[/h]
umeandika kiupambe sana,who cares kama gari limeumia na yeye ni mzima?toa update ya binadamu kuhusu afya,gari si kitu,maisha yake kwanza.
 
Kwa faida yako na wengine, ''Chege Chigunda mtoto wa Mama Said'' mwanamuziki wa Kizazi kipya,anaimba bongo flava ktk kundi la TMK Wanaume. Of late ameungana na wanamuziki wenzie wanaotoka mkoa wa Kigoma na kufanya kazi pamoja chini ya kundi linalojiita Kigoma All Stars na kutoa kazi nzuri inayoitwa ''Lekadutigite''.

Nashukuru kwa ufafanuzi wako kwn Mi nilijua mleta mada amekosea kuandika jina lengwa!
Pole Chege na MUNGU akutie nguvu!
 
hyo noma sana amepata ajali maeneo gani?ebwana tunampa pole sana na tunamtakia kila lakheri ili apone haraka sana arudi kwenye game ili tuendelee kupata swaga zake mshikaji mkali ktk game
 
Back
Top Bottom