Wewe ni mpuuzi, hii thread iliyeianzisha aliipost kwenye jukwaa la sports na siyo celeb, isitoshe mimi siyo mpenzi wa hizo Bongo fleva unategemea huyo Chege mimi nitamjulia wapi? mleta thread angeweka maelezo yanayojitosheleza wala kusingekuwa na mtu wa kuuliza maswali.
Hivi wewe kama hufuatilii siasa unaweza kumjuwa Mbunge wa Babati ni nani?