BREAKING: Rwanda yaondolewa AGOA. Tanzania na Uganda tunahesabiwa siku

hao wamerikani kwanini wasiingize magari na vipuri wanaingiza mitumba? hakuna soko huru hapo kuna ubabaishaji tu wavunje tu huo mkataba
 
Museveni mjanja atawaacha Tanzania na Rwanda waingie choo cha kike yeye anajirudisha kwa Trump!
 
Kosa kubwa alilolifanya Gaddafi ni kuondolewa sanctions!
 
Congrats Kagame. The only African president with balls
 
WaAfrika bila kujitambua, tutaendelea kuambiwa na kupangiwa cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…