BREAKING! Shamimu Nuru a TZ National arrested at JKIA by Kenyan Author

BREAKING! Shamimu Nuru a TZ National arrested at JKIA by Kenyan Author

MkenyaHalisi

Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
42
Reaction score
22
Shamimu Nuru a TZ National enroute to Yemen to Join ISIS arrested at JKIA by Kenyan Authorities
 
Attachments

  • SHAMIM.jpeg
    SHAMIM.jpeg
    13.2 KB · Views: 60
Shamimu Nuru a TZ National enroute to Yemen to Join ISIS arrested at JKIA by Kenyan Authorities
Haijalishi kama ni wa Tz au wa Ky, ila kama kweli alikuwa anakwenda kujiunga na ISIS basi kuna tatizo kubwa kwenye hizi imani tulizoletewa na wageni.

Kwenye hiyo picha anaonekana ni mwenye huzuni na aliyekata tamaa ya kuishi kiasi kwamba ukimpa bomu anajilipua bila kujiuliza. Watoto wetu wanaharibiwa sana kisaikolojia kwa ajili ya kukidhi matakwa ya wengine. Bad!
 
Imani hizi za kikoloni zitaendelea kutesa sana wanaokariri bila kutafakari nini hasa maana ya andiko lenyewe.

Na kadri haya mambo watu hawayataki kuyaweka wazi sumu itazidi
 
Sheria ichukue mkondo wake! Nawaomba waislam wote waepuke kushawishiwa kiurahisi kwenda kutenda maovu, maana waislamu wenzao ndo wanawashawishi isivyo kupitia misikitini au madrasa.
 
Haijalishi kama ni wa Tz au wa Ky, ila kama kweli alikuwa anakwenda kujiunga na ISIS basi kuna tatizo kubwa kwenye hizi imani tulizoletewa na wageni.

Kwenye hiyo picha anaonekana ni mwenye huzuni na aliyekata tamaa ya kuishi kiasi kwamba ukimpa bomu anajilipua bila kujiuliza. Watoto wetu wanaharibiwa sana kisaikolojia kwa ajili ya kukidhi matakwa ya wengine. Bad!

Viongozi wa kidini ndio wafaa wawe mstari wa mbele kupinga jambo hili na vyombo vya dola viwe macho kila wakati kwasababu hawa wenzetu imani yao sio ya dini wako na agenda zao tofauti. Iweje leo mwanamke atumike kivita na hata dini yenyewe yakataza jambo ilo.
 
Hongera vyombo vyetu vya dola kwa kazi nzuri, naomba huyu binti ashikiliwe kingongo prison aiimbe kwaya humo..ataipata huduma iliyopeveka humo badala ya kuwapelekea isis mzigo..
 
Back
Top Bottom