Moyo Wako Pia Unahitaji Mapumziko π*
Akili na moyo pia vinaumwa ila havilii kwa sauti wengi wetu tunacheka hadharani na kulia tukiwa faragha.
Dalili za kuzingatia:
βοΈ Kukosa usingizi
βοΈ Kukosa hamu ya vitu ulivyovipenda
βοΈ Hasira za haraka
βοΈ Kujitenga na watu
Akili nayo huumwa na mara nyingi kimya kimya na kuomba msaada si udhaifu ni ushujaa na uhitaji kuvunjika kabisa moyo ndipo uombe msaada.
β¨ Ongea na mtu unayemwamini
β¨ Pumzika bila hatia
β¨ Weka mipaka
β¨ Tafuta mshauri nasaha mapema
Anza leo kuongea na mtu unayemwamini pata muda wa kupumzika weka mipaka na tafuta mshauri nasihi mapema.
Akusaidie.
Na ukihitaji mtu wa kukusikiliza bila kukuhukumu basi Bonyeza link kwenye bio
Sign in - Google Accounts au tuma ujumbe π©
π +255748951191
π€ Robert James (mitandao yote)
#AfyaYaAkili #Counselling #UshauriNasaha #MentalHealthTZ #RobertJames #Tanzania