Nothing Serious S1 Ep 1 _
Nothing serious Inahusiana Na vitu flani flani vya harakati za vijana. kijana yoyote yule mchapa kazi atakuwa anaweza kuomba kuonana nasi tukafika mahali pake pa kazi tuka mhoji kuhusu biashara yake na mambo mengine ya kimaisha yanayo izunguka jamii yetu, ili basi wateja wapate kufahamu bidhaa ama biashara yake hiyo. Hii yote itakuwa inafanyika for free (no charges)
Wengi huuliza kivipi free, nyie mnapata nini? sisi jamani hatupati chochote hii ni kama charity (kujitolea) kwa vijana wenzetu kwasababu hakuna jinsi nyingine tunaweza kuwasaidia au kusaidiana kiujumla, Napenda kujitolea sana ila sina pesa wala mtaji wa kumpa kijana mwenzangu ajikwamue. Bila kujitangaza ni vigumu kupata masoko.
Hii ni kwa vijana wote wafanya Biashara au wenye office za kiufundi na shughuli mbali mbali.
Comment hapo chini kama unaswali au unahitaji kuwasiliana nasi
follow us!
Techn and Gaming (@techandgamingtz) • Instagram photos and videos
Dream Vgrapher (@dreambreezyy) • Instagram photos and videos
Fanya kama una subscribe share na wana, thumb up and turn on notification usipitwe na vitu vizuri