BRELA Documents

BRELA Documents

changman

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
229
Reaction score
90
Habari za mchana. Nilienda brela kuandikisha kampuni wakaniambia baada ya name clearance, nipeleke documents kama tano hivi na laki 3. Hiyo ni bei sahihi na idadi ya documents? Maana nimeona kwenye website yao gharama za usajili hazifiki hata laki tatu
 
Leta hizo fedha tukutengenezee hizo docus na clearance yote hapo BRELA kwa consultancy fee kidogo.Tutakupa na ushauri juu ya taratibu za KODI,BANKING na business license.Tatizo sisi wengi tunapoteza muda kwa kuhangaika na vitu ambavyo kuna taasisi zinachezo nazo kila siku na kufanya network kuwa nzuri.
 
Gharama za usajili zinategemea mtaji wa kampuni e.g:
20,200/= mpaka 500,000/= ni 50,000/=
501,000/- mpaka 1,000,000/= ni 80,000/=
1,001,000/= mpaka 2,000,000/= ni 120,000/=
2,001,000/= mpaka 5,000,000/= ni 150,000/=
5,000,000/= mpaka 10,000,000/= ni 180,000/=
10,001,000/= mpaka 30,000,000/= ni 200,000/=
30,001,000/= na kuendelea ni 300,000/=
 
Sasa baada ya name clearance imekuwa approved, ni documents ngapi zinahitajika ku submit? walioshafungua company watusaidie
 
Form no.14a na 14b zilizojazwa kikamilifu. Memorundum & Articles of association copy 3 kama shareholder mko wawili au 4 kama shareholder mko 3. Kama huna form naweza kukutumia
 
Form no.14a na 14b zilizojazwa kikamilifu. Memorundum & Articles of association copy 3 kama shareholder mko wawili au 4 kama shareholder mko 3. Kama huna form naweza kukutumia

Aisee nitumie ntashukuru sana.

Kuhusu hiyo Memorandum and articles of association, kuna sample document kwenye website yao ambayo unaweza i edit ina pages 3, naweza tumia hiyo?
 
.............................kuna jamaa fulani pale brela aliniambia
kuwa ................
fee zao ni:
...........100,0000/=
............45000/=
...........26,000/=.................
lakini akaniambia kuwa nitoe jumla 450,000/= kwa full documentation,
legal issues and so on! je, hizo ndiyo gharama zinazotakiwa au nimeshaliwa kichwa?

Leta hizo fedha tukutengenezee hizo docus na clearance yote hapo BRELA kwa consultancy fee kidogo.Tutakupa na ushauri juu ya taratibu za KODI,BANKING na business license.Tatizo sisi wengi tunapoteza muda kwa kuhangaika na vitu ambavyo kuna taasisi zinachezo nazo kila siku na kufanya network kuwa nzuri.
 
.............................kuna jamaa fulani pale brela aliniambia
kuwa ................
fee zao ni:
...........100,0000/=
............45000/=
...........26,000/=.................
lakini akaniambia kuwa nitoe jumla 450,000/= kwa full documentation,
legal issues and so on! je, hizo ndiyo gharama zinazotakiwa au nimeshaliwa kichwa?

gharama zaweza kuwa zaidi ya hapo ama chini ya hapo kutegemeana na mtaji.sasa ni wewe kuamua kwamba kampuni yako unataka iwe ya mtaji kiasi gani na gharama zake ni sh ngapi(tembelea website ya brela ,bei huanzia laki moja -345000 kama hazijabadilika kwa co limited).gharama za kuandaliwa vitabu na mihuri ya wanasheria pamoja na kuifuatilia cert mpaka itoke,hayo ni makubaliano yenu ndani ya soko huria.
 
Back
Top Bottom