Form no.14a na 14b zilizojazwa kikamilifu. Memorundum & Articles of association copy 3 kama shareholder mko wawili au 4 kama shareholder mko 3. Kama huna form naweza kukutumia
6000 tu,japo itakugharimu muda kuifuatilia mpaka cert.. ikamilike .vipi kuhusu business name wadau inagharimu sh ngapi
Leta hizo fedha tukutengenezee hizo docus na clearance yote hapo BRELA kwa consultancy fee kidogo.Tutakupa na ushauri juu ya taratibu za KODI,BANKING na business license.Tatizo sisi wengi tunapoteza muda kwa kuhangaika na vitu ambavyo kuna taasisi zinachezo nazo kila siku na kufanya network kuwa nzuri.
.............................kuna jamaa fulani pale brela aliniambia
kuwa ................
fee zao ni:
...........100,0000/=
............45000/=
...........26,000/=.................
lakini akaniambia kuwa nitoe jumla 450,000/= kwa full documentation,
legal issues and so on! je, hizo ndiyo gharama zinazotakiwa au nimeshaliwa kichwa?