No_Worries
Member
- Sep 27, 2016
- 69
- 23
Mkuu hakikisha una uelewa mzur kuhusu maneno "patnership" , "company" ,"Sole", na "Limited" halafu ndo tuendelee
[emoji122]
Tatizo lako hujaeleweka nadhani unamaanisha tofauti iliyopo kati ya:Asante mkuu, nimezipitia hizo threads ila bado sijapata maelezo fasaha ya utofauti wa Kibishiara kati ya Partnership na Company.
Pole sana.Hata mie nilikwama lakini angalia upande wa kulia wa hiyo website na majina na nanmba za simu.Nilipiga na kumpata mmojawapo na akanielekeza vizuri.Wapigie.Asante mkuu, nimezipitia hizo threads ila bado sijapata maelezo fasaha ya utofauti wa Kibishiara kati ya Partnership na Company.
Tatizo lako hujaeleweka nadhani unamaanisha tofauti iliyopo kati ya:
1.Company Limited
2.Sole Proprietorship
3.Corporation
4.Cooperation
Mimi bado sijajua vizuri kama Compay Limited ndo pia inaandikwa Limited Liability Company nadhani wanaofahamu watu watatusaidia,
Pia kuna kampuni zinatumia eg Mkaruka Pvt Limited, kama ingetokea mtu akatusaidia ingekaa poa sana
Asante mkuu, nilisita kuwapigia hao kwanza, nilitaka nipate uzoefu (first hand experience) kutoka kwa wenye partnership ama company. Lakini naona kuna umuhimu wa kuwapigia.Pole sana.Hata mie nilikwama lakini angalia upande wa kulia wa hiyo website na majina na nanmba za simu.Nilipiga na kumpata mmojawapo na akanielekeza vizuri.Wapigie.
Kwahiyo Partnership haiwezi kuwa kampuni ? Ubishi mwingine wa kuzaliwa naokama un
Mkuu mbona swali langu linaeleweka sana tu. Mimi nauliza tofauti (faida na hasara) ya kufanya biashara kama kampuni na kama partnership, hayo mengine mimi hata sihitaji kuyajua.
Kwahiyo Partnership haiwezi kuwa kampuni ? Ubishi mwingine wa kuzaliwa nao
Ni kweli partnership haiwezi kuwa company.Kwahiyo Partnership haiwezi kuwa kampuni ? Ubishi mwingine wa kuzaliwa nao
Asante mkuu kwa elimu. Vipi lakini kuhusiana na mambo ya gharama za kuendesha kampuni na partnership? Vitu kama Kodi?Haya mambo naona yapo kisheria zaidi, unaposajili kampuni kwa haraka unakuwa na entity na faida za kuwa na entity ni kwamba liability inakuwa limited(kwa kifupi madeni ya kampuni ni ya kampuni na hayahusiani na mali binafsi za wanahisa), wakati mkiwa kwenye partnership mali binafsi za partners zinaweza kutaifishwa kufidia madeni ya partnership.
Faida nyingine ni kwamba kampuni itaendelea kuwepo hata ambapo shareholder atakapofariki lakini nadhani kwa partnership inakuwa dissolved.
Gharama za kuendesha Company esp kodi ni kubwa zaidi ya partnerships
Cheers mkuu! ThanksPartinership ni rahisi kama uko fast maana haihitaji memorandum halafu ni flexible...japo hiyo hiyo Partinership mkishakua fresh mnaigeuza company