BRELA mmerudi kulekule enzi za Mwalimu za huduma mbovu. Kipindi Rais Magufuli hajafariki ilikuwa huwezi kukaa zaidi ya siku tatu baada ya kufile application yoyote bila kufanyiwa kazi na namba ya bosi ilikuwa kwenye website yao kwa sasa hadi mwezi watu hawajitingishi.
Kuna umuhimu mkubwa wa waziri husika kuangalia hiii taasisi na tayari vishoka wanatumika ipasavyo. Ukifile document yako kama huna namba ya simu ya muhusika ndani basi itakaa online ikisubiri kudura za Mungu ili ishuhulikiwe.
Najua BRELA ina viongozi na wala hawahitaji kutafuta mchawi ni kuingia tu kwenye system unaangali filing date na muda iliyoshuhulikiwa mtajionea wenyewe.
Tunawataka mjirekebishe ni aibu nchi ndogo kama Rwanda ina mifumo thabiti ukiwa na document zote siku moja kila kitu kinakamilika leo nchi hii ina kila kitu majanga tu.