Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu.
BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka Ushirika mnazi mmoja. Imeajiri vijana weni waliokuwa mawakili na watu wa IT.
BRELA , hawa vijana kitu wanachokifanya imekuwa kufuru na imekuwa kama ni kitengo kinachojitegemea, sitozungumzia semina wanazojilipa mamilioni kila siku na safari za nchi nzima, ila leo nitazungumzia kuhusu kazi tu.
Wafanyakazi wa BRELA wamejigeuza na sasa wanafanya kazi za MAWAKILI na watu wengine kwa resorces za serikali.
Wanapokea kazi, wanafungua makampuni, wanasajili majina na muda wote wa[o busy, si kupitisha kazi bali kuhangaika na wao wenyewe wanaita "vimeo" ambapo wanasajili kampuni kwa LAKI TANO tu kwa resources na muda wa serikali wakati kazi zao wanaziacha.
Tunaomba waziri wa viwanda na biashara aangazie, hawa watu wawezeshwe, wafungue makampuni kiuwazi kuliko kwa wanavyofanya , inasikitisha hii idara !