mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3 kama hutoi chochote.
Msifanye rushwa kua kitu cha lazima ili mtu akamilishe mambo yake hasa yakiwa ni haki yake kisheria kwa sababu anakua kakamilisha kila kitu.Mnarudisha watu nyuma na kuikosesha serikai mapato.
BRELA
Msifanye rushwa kua kitu cha lazima ili mtu akamilishe mambo yake hasa yakiwa ni haki yake kisheria kwa sababu anakua kakamilisha kila kitu.Mnarudisha watu nyuma na kuikosesha serikai mapato.
BRELA