Jamani nimegundua kwamba utaratibu uliopo ofisi namba 309 brela si sawa na nikikwazo kikubwa kwa kuregister trade marks.Leo nimeenda pale na nimekutana na dada mumoja mweusi anamajibu mabovu kama nini?Swali langu hivi viongozi wake wanafanya nini kumuchukulia hatua au kumpa elimu ya customer care.