Guys nani amewahi sajiri jina la biashara Brela kwa huu mfumo wa online? anisaidie maana nimekwama kipengere cha kujaza majina na jinsia, niki hover mouse inaniletea haka ka alama 🚫, sasa nashindwa kujazahizo sehemu. Hii imekaaje au ndo mtaalamu wa IT brela anajitolea.