BRELA wanachukua muda gani kutoa cheti?

BRELA wanachukua muda gani kutoa cheti?

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,484
Wanajamvi shikamon wote kwa moyo mkunjufu.
Naomba kwenda kwenye swali langu kama ambavyo kwenye heading linajieleza, naomba kuuliza anaejuwa taratibu za BRELA baada mtu kumaliza kazi yote ya usajili wa kampuni na kulipia Je! Huwa watumia mda gani kutoa cheti kwa mhusika?
 
Back
Top Bottom