Brela wanazingua sana Online Registration

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Nimefanya Regstration nimefikia sehemu ya kulipia na nimelipa baada ya hapo naona kimya. Nikituma email hawajibu.

Kuna mwingine alisha kutana na tatizo kama langu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshapigwa Hapo,ungeenda tu physically
 
Piga Simu.

Physically Hawakubali
 
hiyo system yao iko poa sana. wanaweza kuwa wanapitia documents zako. Au wapigie simu, wana namba yao ya free.
 
Nimefanya Regstration nimefikia sehemu ya kulipia na nimelipa baada ya hapo naona kimya. Nikituma email hawajibu.

Kuna mwingine alisha kutana na tatizo kama langu?



Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uwapigie simu.

NB:
Yawezekana wanaingiza kumbukumbu zako vizuri, then watakutumia email na pia ukiangalia kwenye my list, kama faili lako limeshashughulikiwa utakuta majibu ya ulichokiomba.
 
Mimi nilishawahi fika stage kama yako halafu jina likapotea nikajakujaribu tena wananikatalia siwezi kuliregister hilo jina
 
Angalia kwenye email yako uliyowapatia watakuwa wamekujibu; changamoto iliyopo ni jina kukubaliwa....likifanana kidogo tu na majina yaliyopo,utakuwa unapokea ujumbe wa kulibadilisha hilo jina mpaka hapo utakapofanikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…