UbarikiweNi Brenda Rupia au Brenda Lukuvi? Kama ana sifa za kuwa mbunge apitie mchakato ndani ya chama akibahatika apeperushe bendera. Ila kutaka kulazimisha apewe ubunge sio sahihi. CCM sio chama cha kifalme.
Kile chama noma sana.. wale Covid19 karibu wote walikuwa chakula za wakubwa. Lissu mwenyewe alikuwa na dada yake mbunge wa viti maalum. Dr Slaa alikuwa na ka-mchepuko kake mbunge viti maalum, Ndesamburo alikuwa na binti yake viti maalum.. baba lao Mbowe haina hata haja ya kujadili.Ubarikiwe
Isije ikawa kama wale jamaa wa demoghasia
Hapa hujachanganya majina ya Brenda Rupia na Brenda Lukuvi?.Mh Brenda Rupia (mbunge wa Isimani ajaye)
Typing error. Ni Brenda Lukuvi mkuu.Ni Brenda Rupia au Brenda Lukuvi? Kama ana sifa za kuwa mbunge apitie mchakato ndani ya chama akibahatika apeperushe bendera. Ila kutaka kulazimisha apewe ubunge sio sahihi. CCM sio chama cha kifalme.
HII MALISAFI nilikuwa naitolea macho sana kwenye hii tafrija kumbe tayari Manguli wa mjengoni washaipigia hesabu😂! Ama kweli CCM ni ukoo wa panyaKatika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia wapigakura wa jimbo la Isimani. Jimbo hili limekuwa likishikiliwa na baba yake kwa zaidi ya miaka 30 (1995-2006) kabla mbunge huyo nguli wa CCM kufariki dunia mwanzoni wa mwezi Machi, 2006.View attachment 3564064
"Kwa kuzingatia utamaduni wa chama chetu, kamati ya ushauri inapendekeza Brenda Lukuvi achukue fomu na kuendelea kuliongoza jimbo la Isimani amalizie kazi nzuri iliyofanywa na baba yake", alisema kigogo mmoja wa CCM kutoka Isimani ambaye hakupenda kuweka jina lake hadharani.
Mh Brenda Rupia (mbunge wa Isimani ajaye)
MAONI YANGU
Mimi nashauri binti huyu akabidhiwe jimbo. Kwa kuwa baba yake amelifanyia mambo makubwa jimbo la Isimani, sioni sababu ya mtu mwingine kushika kijiti cha baba yake. Naunga mkono chama cha mapinduzi jimbo la Isimani kupendekeza jina la Brenda kuongoza jimbo la Isimani. Kwanza huyu ni msomi na amejifunza mambo mengi kutoka kwa baba yake. Namuunga mkono 💯%.
Mzee ameacha mali kweli bana😍Kumbe mzee alikua na mtoto pisi hivi?
Hapana tumpe tuu, kwanza ni mweupe halafu kakulia ccmNi Brenda Rupia au Brenda Lukuvi? Kama ana sifa za kuwa mbunge apitie mchakato ndani ya chama akibahatika apeperushe bendera. Ila kutaka kulazimisha apewe ubunge sio sahihi. CCM sio chama cha kifalme.