Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

Mchakato ufuatwe akikidhi vigezo na hatua zote apewe jimbo ila isiwe kama hisani.
Naamini hilo litafanyika yuko wapi mdogo wangu Victor ?
1. Mbona hii familia ina watoto makini sana zaidi ya huyu brenda...
Sema tu watu hawaijui hii familia

2. Mchakato ufuatwe ili kupata mbunge wa hili jimbo (nasema hili jimbo) maana kupitia mzee lukuvi nilijikuta nakuwa kama mzaliwa wa hapa..kumbe natoka mbali!
 
Asiingie kwenye mtego huo atajuta kama mtoto wa Jenista Mhagama.
 
Akabidhiwe ili iweje? Akarithi mali za wizi za baba yake
 
mitano tena
 
Kuna mtu mmoja kakimbilia g55, kabla yake alikuwa kule demoghasia na alikuwa na ka covid tena kakutoka kanda maalumu, sasa kaacha kale ka covid na kaoa majuzi mwana g55 mwenzake

Hii vita naisubiri kwa hamu yaani ni mwendo wa kuuana!

Unawajua watu wanaitwa BAVICHAA KUINS? ambao kwenye matukio ya demoghasia huwa wamekaa viti vya mbele wamevaa vibana msuli..aisee wale neno "haiwezekani au hapana" hiyo ni dhambi.
 
Kuna mtu anaitwa seba kiyoyo kama sijakosea ni mhandisi, nadhani anafaa tukiweka ushabiki pembeni ijapo hawa madogo wa rafiki yangu kama kuna mtu ana sifa anaweza kujipima kupitia mchakato maalumu
 
Mwanzoni mwa machi 2006!!!
 
Ndo maana wanatuua tukiandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…