Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

HUYU TAYARI ANAYO KURA YANGU MOJA KUTOKA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO, AMBAYO INALINGANA NA UNCOUNTABLE VOTES KWENYE ULIMWENGU WA MWILI. MUNGU AMBARIKI NA AENDE NAYE KWA KISHINDO KIKUU
 
Ila tanzania bhna
 
😄😄
 
Watu wa Isimani watakuwa ni Matraakwo kweli kweli!!! Hilo jimbo kama vipi liitwe Lukuvi tuelewe moja.
 
Hilo jimbo apewe member mwezetu N'yadikwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…