Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

Hii mada imeanzishwa na mkuu 'tpaul'?

Tanzania kamwe haitaepuka maajabu; hasa tukiwa chini ya himaya ya kundi hili la watu waovu!

Hakuna litakalozuia kuiondoa Tanzania katika uduni huu.
Msaliti
 
Ridhiwani ana uwezo wa kutosha. Kaanzia chipukizi UVCCM na hana elimu ya kuunga unga. Kapiga Mkwawa High school, UDSM na law school.
Law school ilianzishwa akiwa keshamaliza udsm
Yule mtoto wa JPM ana uwezo gani
 
CCM ina wenyewe n wenyewe ndio hao n watoto wao n kizazi chao TU.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Naunga mkono hoja
 
Yeah. Nimeanzisha mimi tpaul mkuu. Nikiwa mwanaIsimani mwandandamizi, nampigia chapuo Brenda kupokea kijiti cha babaye.
Ninaisikitikia sana Tanzania yetu hii, mkuu wangu 'tpaul' kwa mwelekeo huu tunaoenda nao sasa hivi.

Lakini najuwa, matumaini yapo, tena sana ya kuliondoa taifa hili kwenye balaa hili. linalolizonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…