Tetesi: Brenda William Lukuvi kugombea ubunge jimbo la Isimani

Ridhiwani ana uwezo wa kutosha. Kaanzia chipukizi UVCCM na hana elimu ya kuunga unga. Kapiga Mkwawa High school, UDSM na law school.
Na wewe una elimu ya kuungaunga ndio maana huchukui fomu?
 
Ya nini kuhangaika na wote hao wakati nafasi hiyo inakufaa sana wewe, mkuu 'tpaul'?
Isimani (kwa Mwamwindi?); itaneemeka sana ukishika nafasi hiyo; kuliko hao unaowaweka mbele yako.

Nimemaliza kuchangia hapa.
Asante mkuu lakini nasubiri chawa mwandamizi Lucas mwashamba achukue kwanza fomu halafu mm nitampigia debe.
 
Wewe huwa ni chawa wa kuunga mkono tu, we huna uwezo ndugu? Chawa mkongwe namna hiyo hizo kura za maoni zikushinde?
Hiyo ndiyo sifa kuu ya machawa mkuu. Usishangae.
 
Na wewe una elimu ya kuungaunga ndio maana huchukui fomu?
Mimi sio mwanasiasa na wala sitaki kujihusisha kwenye siasa nje ya hapa JF. Kuhusu elimu ninayo ya kutosha. Ridhiwani kanitangulia pale Mkwawa kwa miaka michache.
 
Mbona kama alipigiwa na mtusi
hio sio pua ya kibantu

 
Mimi sio mwanasiasa na wala sitaki kujihusisha kwenye siasa nje ya hapa JF. Kuhusu elimu ninayo ya kutosha. Ridhiwani kanitangulia pale Mkwawa kwa miaka michache.
Basi wewe endelea na uchawa ndio kazi uliyochagua mkuu.
 
Iwapo hayo majimbo yamegeuka himaya za kifalme itakuwa sawa!
 
Ingewkuwa
 
Hata Mtoto wa Marehemu Jenister Mhagama mlimuombea jimbo hivi hivi, akangukia Pua. Aendelee tu na mishe zake zingine.
 
Hata Mtoto wa Marehemu Jenister Mhagama mlimuombea jimbo hivi hivi, akangukia Pua. Aendelee tu na mishe zake zingine.
Spika inaonekana kuna kitu amejifunza
 
Inaniuma sana kuona kuwa mtoto huyu wa Lukuvi ametoswa kwenye jitihada za kumrithi baba yake, badala yake amekuja kupewa mtu wa kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…