1.Brenda
Ujazo: 1.5 litre
Condition: MPYAAAAA KASORO BOX
Bei: TSH. 75,000/= BEI INAPUNGUAAAAA!
LOCATION: UBUNGO DAR ES SALAAM
PHONE# :0764232348
2. Tecknet wireless keyboard mini bluetooth keyboard;
-Backlit keyboard
-support ios, android and windows system
- condition: mpyaaa
- price: Tsh.55,000/= bei inapunguaaa
Free delivery in dsm
3. Wireless mouse
- interface:Usb
- power: 1×AAA battery
- up to 10 meters of operating distance
Condition: mpyaaa
- price: Tsh. 12,500/= bei inapunguaaa
Phone:0764232348
Free delivery in dsm
Mkuu mahingah nimeweka picha ya brenda kwa kuwa imeshafunguliwa kwenye box lkn kwa upande wa wireless mouse na wireless keyboard mzigo ni mpyaa huo bado upo kwenye box zakeWeka picha halisi Kama picha ya brenda
Mkuu mouse top top ni 12000Mouse nipunguzie nichukue..
Poa ntatafuta wiredMkuu mouse top top ni 12000
Mkuu nakushauri uchukue wireless hautojutaPoa ntatafuta wired
Kwanini ...maana nilishawahi kua nayo betri ikipungua kidogo inasumbuaMkuu nakushauri uchukue wireless hautojuta
Mkuu hyo inatumia single betri, na kama ukiweka battery og kwa mfano zile za sony, unaweza tumia hyo mouse hata miezi sitaKwanini ...maana nilishawahi kua nayo betri ikipungua kidogo inasumbua
Mkuu hyo inatumia single betri, na kama ukiweka battery og kwa mfano zile za sony, unaweza tumia hyo mouse hata miezi sita
Jmani mbona mnaniacha Kariakoo? Brenda ni nini? Mna maana ya Blender au ni kifaa kingine?Mkuu mahingah nimeweka picha ya brenda kwa kuwa imeshafunguliwa kwenye box lkn kwa upande wa wireless mouse na wireless keyboard mzigo ni mpyaa huo bado upo kwenye box zake
Hahahaa mkuu brenda ni tafsiri ya blender si unajuwa bongo hakuna kinachoshindikanaJmani mbona mnaniacha Kariakoo? Brenda ni nini? Mna maana ya Blender au ni kifaa kingine?
Mkuu blender hyo ni mpyaa kasoro box mkuu sijaitumiaBoss blender imetumika mda gani..
Naitaka nina 50 bt nipo mby
Hahahaa mkuu utakuwa umenikoti vibaya, brenda ni tafsiri ya blender kiswahili kinakua mkuu.Watanzania tumefikia huku?kuuza binadamu wenzetu? Huyo brenda mbona hujaweka picha yake nata moja tumwone kama mtoto mzuri au ndo hivyo tena.