Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hali yake na timu yake ya Leicester City ni mbaya sana ! mechi 2 imefungwa magoli 11 !
Anawezaje kupona huyu ?
Anawezaje kupona huyu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona leo walikuwa wanammulika set pieces coach wake....timu last season ilifungwa magoli mengi toka kwenye mipira iliyokufa...leo magoli mawili ya kwanza spurs wamefunga kwenye kona. Sasa unashangaaa tatizo bado linaendelea.Hali yake na timu yake ya Leicester City ni mbaya sana ! mechi 2 imefungwa magoli 11 !
Anawezaje kupona huyu ?
Kazi kwakeNaona leo walikuwa wanammulika set pieces coach wake....timu last season ilifungwa magoli mengi toka kwenye mipira iliyokufa...leo magoli mawili ya kwanza spurs wamefunga kwenye kona. Sasa unashangaaa tatizo bado linaendelea.
Ila yule son nyoko....goli zake balaaa
Anatimuliwa time sio ndefuHali yake na timu yake ya Leicester City ni mbaya sana ! mechi 2 imefungwa magoli 11 !
Anawezaje kupona huyu ?
Bavaria wananiangusha sana Yani ni takataka kabisa.hamalizi wiki+ yule wa bayern