Brendan Rogers, Kocha mzuri anayebweteka na sifa kwenye Ligi mbovu ya Scotland

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ni vema huyu Kocha akapata maono ya kufundisha kwenye ligi za maana ili kukuza uwezo wake , kuendelea kufundisha soka kwenye ligi inayofanana na picha ya kihindi ni kujimaliza .

Picha ya kihindi ndio sinema ambazo mtu mmoja anawapiga watu wote kuanzia mwanzo hadi mwisho ! The same to Celtic .

Tatizo sasa wanapokuja UEFA , vipigo wanavyopata ni aibu !

Mshaurini huyu kocha atafute ligi ngumu akafundishe , kutimuliwa Liverpool kusimfanye apotee kiasi hiki .
 
Ngoja ataende man cty cku co
Nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…