Brentford Promoted to Premier League for the first time in 74 years

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Brentford will play in the Premier league next season, it is the first time in 74 years after beating Swansea 2-0 in the Championship Play - Off final.

Huu ndio uvumilivu tunaousema miaka yote, siyo timu yako mbovu ikishindwa kupanda daraja miaka mitatu tu mnaanza kushikana uchawi.

Taarifa zinaonyesha kwamba hii inakuwa timu ya 10 kutoka North London kufuzu kucheza Ligi kuu.

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Uvumilivu huo unatokana na chochote kitu kinachofanya uvumilivu uendelee kuwa himilivu.

Bingwa wa VPL anapewa sh 70m, timu inayoshuka daraja EPL inapata si chini ya sh 90bn, hivyo Championship kule lazima kutakuwa si haba, plus biashara za timu na mashabiki na viongozi wenye moyo wa kutoa kwa timu na SI KUCHUKUA kutoka kwenye timu.
 
Bila shaka , hizi timu si kama Transit Camp
 
Walifungwa play off na Fulham msimu uliopita ikabidi wawauze nyota wao Watkins na Ben Rahma kwenda Aston Villa na West Ham.

Msimu ujao PL watakuwa na striker wao anaitwa Toney ni mkali kuliko hata Watkins.
 
Uvumilivu huo unatokana na chochote kitu kinachofanya uvumilivu uendelee kuwa himilivu.

Bingwa wa VPL anapewa sh 70m, timu inayoshuka daraja EPL inapata si chini ya sh 90bn, hivyo Championship kule lazima kutakuwa si haba, plus biashara za timu na mashabiki na viongozi wenye moyo wa kutoa kwa timu na SI KUCHUKUA kutoka kwenye timu.
Sidhani ni sahihi kulinganisha vpl na epl, mtoa mada kasema uvumilivu unalipa,
 
Unavumilia nini sasa ikiwa hata hiyo sababu ya kuvumilia ama huna au huijui? Huna vifaa vya michezo/mazoezi, pesa huna, mashabiki wa kukusapoti huna, walimu huna, wachezaji ni wa kujitolea, unavumilia nini hapo?

Ulinganifu ni muhimu kwa mizania hiyo hiyo ya kisoka, wala si nguvu ya kiuchumi ya ligi husika bali uhalisia.

Simba na Yanga zinanunua mchezaji kwa thamani ya zaidi ya zawadi ya ligi, au kununua wachezaji kwa mamilioni ya mamia halafu kutembeza bakuli kwaajili ya mishahara ma pengine ipite hata miezi kadhaa bila wachezaji kulipwa.

Angalia viongozi wa timu, wanaishi kama wako peponi, ukwasi wanaupatia kwenye hizo hizo timu zinazosua sua kiuchumi.

Upumbavu wa kuving'an'ania vilabu viwili tu ndio unaowakosesha mapato hasa ya kiingilio, timu nyingine zinapojaribu kuinukia kuleta ushindani wa kisoka, mnazididimiza zisiwazidi Yanga na Simba, viongozi wa vilabu vingine ni wanachama/wapenzi wa Simba na Yanga, kiasi kwamba wanakaa kukubaliani, timu ikicheza na Simba, basi viongozi wapenzi wa Simba waachiwe waihujumu timu hiyo ili Simba ishinde na ikifika zamu ya Yanga kadhalika.

Tengeneza vilabu hata 6 vitakavyoweza kuijaza Ben Stadium zikikutana, badala ya kuwa na mechi 2 unazokuwa na uhakika wa kukusanya 300m kila mechi, unakuwa na mechi kama hizo 12 kwa msimu ambazo zitakupa angalau 3bn kwa msimu kutokana na viingilio.
 
Nani atengeneze hivyo vilabu? Leo azam kaja na mkataba ambao hata timu inayoshuka daraja inapata pesa bado mnabeza mkataba wa kinyonyaji hivi tunataka nini sisi? Kila mtu avumilie kwa mazingira aliyopo
 
Walifungwa play off na Fulham msimu uliopita ikabidi wawauze nyota wao Watkins na Ben Rahma kwenda Aston Villa na West Ham.

Msimu ujao PL watakuwa na striker wao anaitwa Toney ni mkali kuliko hata Watkins.
Norwich walikuja na Teemu Pukki na wakarudi walipotoka na huyo Toney timu kibao zinamtolea macho
 
Unavumilia nini sasa ikiwa hata hiyo sababu ya kuvumilia ama huna au huijui? Huna vifaa vya michezo/mazoezi, pesa huna, mashabiki wa kukusapoti huna, walimu huna, wachezaji ni wa kujitolea, unavumilia nini hapo?

Ulinganifu ni muhimu kwa mizania hiyo hiyo ya kisoka, wala si nguvu ya kiuchumi ya ligi husika bali uhalisia.

Simba na Yanga zinanunua mchezaji kwa thamani ya zaidi ya zawadi ya ligi, au kununua wachezaji kwa mamilioni ya mamia halafu kutembeza bakuli kwaajili ya mishahara ma pengine ipite hata miezi kadhaa bila wachezaji kulipwa.

Angalia viongozi wa timu, wanaishi kama wako peponi, ukwasi wanaupatia kwenye hizo hizo timu zinazosua sua kiuchumi.

Upumbavu wa kuving'an'ania vilabu viwili tu ndio unaowakosesha mapato hasa ya kiingilio, timu nyingine zinapojaribu kuinukia kuleta ushindani wa kisoka, mnazididimiza zisiwazidi Yanga na Simba, viongozi wa vilabu vingine ni wanachama/wapenzi wa Simba na Yanga, kiasi kwamba wanakaa kukubaliani, timu ikicheza na Simba, basi viongozi wapenzi wa Simba waachiwe waihujumu timu hiyo ili Simba ishinde na ikifika zamu ya Yanga kadhalika.

Tengeneza vilabu hata 6 vitakavyoweza kuijaza Ben Stadium zikikutana, badala ya kuwa na mechi 2 unazokuwa na uhakika wa kukusanya 300m kila mechi, unakuwa na mechi kama hizo 12 kwa msimu ambazo zitakupa angalau 3bn kwa msimu kutokana na viingilio.
Wananunua wachezaji kwa pesa nyingi na lengo ni kushinda mechi ya watani wa jadi tu hawawazi mafanikio nje ya Tanzania.

Kocha wa Yanga akitaka apendwe aifunge Simba na vice versa la sivyo hata ufike mtoano michuano ya CAF eti unaonekana haufai.
 
Hapo sasa ndo inabidi tuvumiliane kwenye kutoa maoni, si sahihi kudhani kilichofanyika ni sahihi sana au ni makosa makubwa, tujadiliane, tufikie ukomo, ijulikane.

Hatuishi kwenye kisiwa na hakuna jipya tunaloweza kufanya kwa aina ya akili, wasomi na maisha tuliyonayo, hivyo kila jambo linajadilika.

Pesa ni kubwa kweli na ni jambo jema. Waungwana pia wanauliza, wataalamu wote walihusishwa? Taratibu zilifuatwa? Mwaka 2010 Naira ya Nigeria ilikuwa ni 10:1 kwa shilingi, leo ni kama 6:1 na haikuporomoka leo, mkataba wa miaka 10 unalindaje thamani ya kimkataba kubako vile vile kwenye nguvu ya manunuzi au kuimarika zaidi kuliko kupungua? Tupo Africa, ni sarafu chache ziko imara muda mwingi? Kwanini miaka 10 na sio 3, 4 au 5 max?

Siasa inaadhiri kila kitu, kila anapoingia mtawala mwingine, sera zinafuata matakwa yake, na kipindi cha kubadilika ni kwa mihula ya miaka 5, kwanini tusingeishia hapo kwanza?

Yote katika yote, bado ni pesa nzuri kwa muda huu na itaheshima ligi yet kama itatumika inavyopaswa, ila kama itaingia mifuko mwa akina Karia, ambapo ni more likely kuwa hivyo, hata mwaka 1 tu ungetosha.
Aiseeeeee !!
 
Brentford will play in the Premier league next season, it is the first time in 74 years after beating Swansea 2-0 in the Championship Play - Off final.

Huu ndio uvumilivu tunaousema miaka yote, siyo timu yako mbovu ikishindwa kupanda daraja miaka mitatu tu mnaanza kushikana uchawi.

Taarifa zinaonyesha kwamba hii inakuwa timu ya 10 kutoka North London kufuzu kucheza Ligi kuu.

Mungu ibariki Brentford
 
Back
Top Bottom